KARIBU SANA

Thursday, December 18, 2008

TAPELI ANAPOSURUBIWA!

Wananchi wenyehasira wakimsurubu kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja aliyedaiwa kuwa ni tapeli.Tukio hilo lilitokea maeneo ya Mwenge Bamaga Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment