![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5RFORDMRyUgJZXAOEXSHKMC2IwnEAKNRs29QuRZXpoROtfnp0eYqpRSdsqazDDIvPU3MhBQC1dEwkBzeUdNGfFiZyd8_XOiTWvHFENP4vduEd4WrRsPELly5c27cN8b7x5fISmsTki9A/s320/_mbiliabell.jpg)
Mwanamziki wa Kongo, Mbilia Bell akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kuwasili jana ambapo atatumbuiza Embassy's club katika sherehe ya kufunga mwaka na jumamosi atatumbuiza New World Cinema. Kulia ni Godfrey Kusaga wa Prime Promotion.
No comments:
Post a Comment