KARIBU SANA

Thursday, December 18, 2008

Gari la mahabusu lapata ajari





Gari la Mahabusu leo mchana liligonga kwa nyuma gari dogo aina ya Toyota Corola maeneo ya Kinondoni Manyanya jijini Dar, baada ya Corola hiyo kukata kona kwa ghafla kwa lengo la kuingia kituo cha mafuta cha Mwanamboka kilichopo eneo hayo na kusababisha magari yote kuingia mtaroni.



Mahabusu wakilia maumivu baada ya kutokea kwa ajali hiyo

No comments:

Post a Comment