KARIBU SANA

Thursday, December 18, 2008

CHRISTIAN BELLA KUZINDUA BOXING DAY

Rais wa bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact ‘Vijana wa Masauti” Christian Bella (katikati) anatarajia kuzindua albamu yake nje ya bendi yake Desemba 26 mwaka huu katika ukumbi wa New Msasani Club.Katika uzinduzi huo Bella atasindikizwa na Rais wa FM Academia ‘Wazee wa ngwasuma’ Nyoshi El Saadat. Kulia ni Meneja wa Akudo Michael na kushoto ni mratibu wa uzinduzi huo King Dodoo Labuche walipokuwa wanaongea na waandishi wa habari hivi karibuni juu ya uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment