KARIBU SANA

Sunday, April 19, 2009

simba vs yanga

yanga

Simba
gemu limeanza kama nusu saa ilopita na simba keshapigwa moja kwa bao maridadi la mshambuliaji ramadhani chombo dakika mbili zilopita kwa shuti ya mbali iliyomshinda kipa wa yanga juma kaseja. yanga wanashambulia sana sana na kona kibao upande wa simba

No comments:

Post a Comment