
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Inspecta Jenerali wa Polisi, Said Mwema baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro,April 17, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya awali ya polisi na uhamiaji Katika Chuo cha Polisi (CCP ) cha Moshi Aprili 18,2009.
No comments:
Post a Comment