KARIBU SANA

Sunday, April 19, 2009

TWANGA PEPETA ILIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI CLUB AFRICENTRE

Wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta International wakivamia jukwaa wakati wa onesho lao ndani ya Ukumbi wa Club Afri Center Ilala jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Kifaa kipya katika safu ya unenguaji ya Twanga, Aisha Seif ‘Aisha Kiluvya’ kikiwa katika Pozi la ukweli ukumbini humo.

No comments:

Post a Comment