KARIBU SANA

Sunday, April 19, 2009

MPIRA UMEKWISHA YANGA 2 NA SIMBA 2
MPIRA UMEMALIZIKA SASA HIVI NA MATOKEO NI YANGA 2 NA SIMBA 2. SIMBA WANAONDOKA MIKONO MITUPU LIGI HII KWANI WANGESHINDA WANGEWAKILISHA KOMBA LA CAF. YANGA WANAONDOKA WAKIWA TAYARI MABINGWA

No comments:

Post a Comment