
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza March 2, 2009 na kuzungumza na wafanyakazi wa ubalozi huo na baadhi ya watanzania waishio nchini Uingereza.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mwanaidi Majaar (katikati) na Naibu Balozi wa Ubalozi huo, Ghabaka Kilumanga baada ya kuwasili kwenye ubalozi huo jijini London March 2, 2009, kuzungumza na wafanyakazi wa ubalozi huo na baadhi ya Wanatanzania waishio nchini Uingereza
No comments:
Post a Comment