KARIBU SANA

Friday, March 6, 2009

KAMATI KUU YA CCM DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma March 6,2009.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba wakiteta kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati hiyo, Mjini Dodoma, March 6,2009.


Mwenyekiti wa CCM, Rais , Jakaya Kikwete akizungumza wakati alipofungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCM Mjini Dodoma, March 6, 2009.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM ( VISIWA), Amaan Karume,wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pis Msekwa na watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba.

No comments:

Post a Comment