KARIBU SANA

Tuesday, March 24, 2009

Mkutano wa wawekezaji, Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Aman Karume na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Wawekezaji nchini uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete, kwenye hoteli ya Plan Hotel Gemma, Zanzibar, March 23, 2009.

No comments:

Post a Comment