KARIBU SANA

Tuesday, March 24, 2009

Maimartha: Kanda Bongo Man kanitongoza

MTANGAZAJI wa Kkuo cha runinga cha EATV, jijini Dar es Salaam, Maimartha Jesse ‘Mai’, amesikika akidai kwamba, nguli wa muziki wa kiafrika kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kanda Bongo Man, hivi karibuni amemtongoza.

No comments:

Post a Comment