Mwana dada huyu ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, alibambwa na kamera yetu, hivi karibuni, ‘akimbashia’ mwenzake katika Ukumbi wa Millennium Pub uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam, wakati wa shoo ya Jahazi Modern Taarabu.
NACTVET yaagiza vyuo kufuata utaratibu
7 hours ago

No comments:
Post a Comment