KARIBU SANA

Thursday, February 5, 2009

Vunja mbavu

Siku moja nilisafiri na mmasai mmoja ambapo tulipanda gari moja la mizigo ambalo lilikuwa na tela nyuma. Kali iliyoniacha hoi ni pale yule mmasai alipoanza kucheka sana kisha akasema huku akinipigapiga begani.
Mmasai: Rafiki hiyo toto inafuata mama yake huku inachesa chesa, naipenda sana mama yake eeh?
Tulipofika safari yetu konda wa lile gari alituomba nauli mmasai akatoa mia mbili.
Mmasai: Hii itanunulia hiyo toto masiwa?
Mimi na konda tukabaki mbavu hatuna...

No comments:

Post a Comment