KARIBU SANA

Saturday, February 7, 2009

VIUNO NDIO MTAJI WETU

Mwanadada Baby Omar, akiiongoza safu ya wanenguaji wa bendi ya Diamond Musica, katika onesho la bendi hiyo lililofanyika ukumbi a Mango Garden jijini Dar, usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment