KARIBU SANA

Saturday, February 7, 2009

MORI UKIPANDA NI BALAA

kamera yetu usiku wa kuamkia leo, iliwafuma mashabiki wa bendi ya DDC Mlimani Park Orchestra, wakiwa wamepandisha mori baada ya kudatishwa na mikito ya bendi hiyo katika onyesho lililofanyika Ukumbi wa DDC Mlimani City jijini Dar.

No comments:

Post a Comment