KARIBU SANA

Thursday, February 12, 2009

SHERIA MKONONI!

Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakimuokoa kijana huyu asiweze kutolewa roho na wananchi wenye hasira kali wa eneo la Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana jioni baada ya kumtuhumu kuiba simu ya mkononi.

No comments:

Post a Comment