KARIBU SANA

Thursday, February 12, 2009

Pata mchoto

Jamaa mmoja mchoyo ambaye alimkataza mkewe asipike mpaka wageni waondoke. Jamaa alikuwa hajui kiingereza na mmoja wa wageni alikuwa na gazeti la kiingereza akamuomba na kuanza kusoma. Alipofika sehemu iliyokuwa imeandikwa “Picture” alisoma kwa sauti “pika tule” mkewe akajua mumewe kamwambia “pika tule” akaanza kupika chakula kilicholiwa na wageni. Baada ya wageni kuondoka jamaa alimjia juu mkewe,
Jamaa: Kwanini umepika wakati nilikukataza?!
Mke: Si wewe ulisema “pika tule” Mh! Mambo hayo kama hujui kimombo uuchune.

No comments:

Post a Comment