
Mzee huyu ambaye hakufahamika jina lake (pichani) akijaribu kunyanyuka baaada ya kugongwa na gari ndogo katika barabara ya Azikiwe katikati ya jiji la Dar es Salaam jana, chanzo cha ajari hiyo kilielezwa kuwa ni uzembe wa msichana ambaye ni dereva wa gari ndogo aliyekuwa akiandika ujumbe wa simu yake ya kiganjani bila kuangalia mbele.
No comments:
Post a Comment