MIGONGO YA WATOTO WA DIAMOND USIPIME

Wanenguaji wa bendi ya Diamond Musica ‘Vijana Classic wakionesha umahiri wao wa kupinda mugongo katika onesho la bendi hiyo lililofanyika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
MABRAZAMEN WA DIAMOND MUSICA FULL MKOROGO
Wanenguaji wa kiume wa Bendi ya Diamond Musica ‘Vijana Classic’ mabrazameni kama wanavyoitwa usiku wa kuamkia leo wamepondwa na mashabiki wa bendi hiyo eti ni full mkorogo.
No comments:
Post a Comment