KARIBU SANA

Monday, February 16, 2009

MAMBO YA VALENTINE BONGO

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakisherekea Siku ya Wapendanao ndani ya ukumbi wa Mango Garden
Njemba hii inaonekana kumbana vilivyo mwanadada huyu ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es salaam ambako bendi ya Akudo Impact ilikuwa ikitoa burudani katika kusherekea Siku ya Wapendanao.

No comments:

Post a Comment