KARIBU SANA

Wednesday, January 14, 2009

LAZIMA LEO MKALALE SERO

Polisi huyu alinaswa na kamera yetu akiwapa kibano vijana hawa katika mtaa wa Msimbazi Kariakoo baada ya kuwabamba wakiwa wanapigana hadharani. Polisi huyo alikuwa akisisitiza kuwa lazima vijana hao wakalale Sero

No comments:

Post a Comment