KARIBU SANA

Monday, December 22, 2008

TX JUNIOR NAYE KUMBE FUSKA!!!

Mtoto wa aliyekuwa mwanamuziki wa Msondo Music Band marehemu TX Moshi William, Hussen Moshi, akiserebuka kimahaba na jimama katika onesho la bendi hiyo lililfanyika usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment