KARIBU SANA

Monday, December 22, 2008

ROMARIOOO… TOTO JICHO KUNGU TUPU


Mwanamuziki wa Bendi ya Msondo, Roman Mng’ande ‘Romario’, akikatikiwa mauno ya kufa mtu mnenguaji wa bendi hiyo Mama Nzawisa, ambaye anaonekana kukolea kungu waungwana waliuliza eti Romario kwa kuendekeza libeneke hilo hawezi kujenga ng’o.

No comments:

Post a Comment