
Usiku wa kuamkia leo Bendi ya Msondo Music Band, ilifanya makamuzi yake ndani ya Ukumbi wa Africentre uliopo Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo mnenguaji wa bendi hiyo Mama Nzawisa, alaifanya utundu wake wa kujimanua kihasara na kuwafanya midume mikware kutoa udenda.
No comments:
Post a Comment