KARIBU SANA

Monday, December 22, 2008

KITAMBI CHAMZINGUA CHOKI KUNENGUA

Kiongozi wa bendi ya TOT Respect Ally Choki, akiserebuka kwa taabu katika onesho la bendi hiyo, lililofanyika ukumbi wa Mango Garden jijini Dar, usiku wa kuamkia leo kufuatia kuzinguliwa na kitambi kilichoanza kumchomoka kwa kasi.

No comments:

Post a Comment