KARIBU SANA

Wednesday, December 3, 2008

MAHANJUMATI TUPU!!!!

CHANGU WA NAZI KWA BAMIA! changu huyu aliyeungwa kwa nazi akachanganywa na bamia anapatikana kwa Tsh 3500 za kibongo
LIBENEKE LA UGALI NA KUKU ADIMU SANA HUKU UCHINANI,UNAOPATIKANA HUKU NI WA YANGA(njano)

No comments:

Post a Comment