KARIBU SANA

Wednesday, December 3, 2008

KUKU WA MAKANGE NDIO HUYU


Pichani ni kuku wa kienyeji,anakuwa wa makange kwa maana ya kuivishwa kwa mvuke kwenye oven ya moto wa mkaa kwa takribani dakika 45 baada ya kulowekwa kwenye viungo.anaivishwa kwa kuchanganywa na viungo kadhaa ikiwemo vinega na pilipili.jikoni anachuja mafuta mengi na kuacha ladha tamu inayofika hadi kwenye mfupa.MANAKARIBISHWA THEATER.....vinapatikana.

No comments:

Post a Comment