Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe (kushoto), Jaji Mkuu wa Tanzania , Agustino Ramadhani (wapili kulia) na Balozi wa Canada nchini, Janet Siddall (kulia) wakiingia kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempiski jijini Dar es salaam, ambako Waziri Mkuu alifungua Mkutano wa Kujadili Maboresho ya Sheria Desemba 3, 2008
NACTVET yaagiza vyuo kufuata utaratibu
5 hours ago

No comments:
Post a Comment