KARIBU SANA

Sunday, November 30, 2008

WEE ,QUEEN SUZZY, WENGINE WAUME ZA WATU HAO

nenguaji mahiri wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma', Suzan Chuwa maarufu kama Queen Suzzy akiwa amemdandia shabiki baada ya kupandwa na mzuka katika onesho la bendi hiyo lililofanyika Kijiji cha Makumbusho jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment