KARIBU SANA

Sunday, November 30, 2008

MUNENE NA MUNENE

fanyabiashara jijini Dar, Pius Rutta maarufu kama Mzee wa Pamba akiselebuka na kimwana mwenye umbo la ubwanyenye kama yeye mwenyewe katika onesho la FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' lililofanyika Kijiji cha Makumbusho jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment