KARIBU SANA

Sunday, November 30, 2008

taifa star yawafunga wasudan

Wachezaji wa Taifa Stars wakishangilia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Timu ya Taifa ya Sudan katika pambano lililofanyika Uwanja Mkuu wa Dar es Salaam siku ya Jumamosi.
ana Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars, iliibugiza timu ya Taifa ya Sudan mabao 3-1 katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za mataifa huru ya Afrika kwa wachezaji wa ndani uliofanyika Uwanja mpya wa taifa jijini Dar, pichani mshambuliaji wa Taifa Stars Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa timu hiyo na kupeleka dhahama golini kwao.

No comments:

Post a Comment