
Afisa Uhusiano wa Benki hiyo, Hoyce Temu akikaribisha wageni waalikwa katika hafla fupi ya kuwatambulisha viongozi wapya wa Standard Charter.


Benki ya Standard Charter ya jijini Dar es salaam imepata Afisa Mtendaji mpya (CEO) ambaye alitambulishwa kwa waandishi wa habari jana katika hoteli ya Southern Sun. Pichani CEO anayemaliza muda wake Bw. Hemen Sha (kati) akimtambulisha CEO mpya Bw. Jeremy Awori (kulia) ambaye ni mtoto wa mwanasiasa maarufu nchini Kenya, Moody Awori. Kushoto ni Lucy Kiwhele ambaye naye alitambulishwa rasmi kama Head of Corporate Affairs wa benki hiyo
No comments:
Post a Comment