KARIBU SANA

Thursday, November 27, 2008

Kupikwa uwanya wa fisii!!,kuliwa postaaa!


Kijana huyu alinaswa na kamera yetu maeneo ya Posta jijini Dar, leo mchana akitafuta wateja wa kuwauzia chai na vitafunio kwa kutumia tolori, je ukila chakula chake na kukudhuru utampatia wapi?

No comments:

Post a Comment