KARIBU SANA

Thursday, November 27, 2008

LAIVU!!!,Wema,Kanumba wakutwa naiti wakila 'BATA'

wishoni mwa wiki iliyopita Miss Tanzania 2005-2006 Wema Sepetu na msanii maarufu wa filamu nchini Steven Kanumba walinaswa na kamera yetu ‘laivu’ usiku wa manane wakila bata ‘raha’ ndani ya ukumbi wa Msasani Beach Club uliopo Msasani jijini Dar es Salaam...

No comments:

Post a Comment