KARIBU SANA

Thursday, November 27, 2008

Miss huyu adaiwa kupora wake za watu dar

Msichana mmoja mrembo aliyetajwa kwa jina moja la Rehema mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam, amekumbwa na skendo ya kupenda kuwa na uhusiano usiofaa na waume za watu, Amani limetonywa....

No comments:

Post a Comment