KARIBU SANA

Friday, November 28, 2008

SERIKALI YAZIDI KUFANYA KWELI

Barabara ndogo inayoziunganisha barabara za Uhuru na Kawawa eneo la Ilala Magorofani nayo serikali imeamua kuifanyia ukarabati kama inmavyoonekana pichani maandalizi yameshaanza kwa kumwaga kifusi.

No comments:

Post a Comment