KARIBU SANA

Friday, November 28, 2008

ni kiziwi lakini ni balaa!!!


Mwanadada huyu bubu ambaye pia ni kiziwi, amekuwa akiwashangaza watu kwa kukata nyonga za kufa mtu katika maonesho ya makundi ya taarabu kama alivyonaswa na kamera yetu katika onesho la kundi moja lililofanyika Mango Garden jijini Dar usiku wa kuamkia le


WEE NJEMBA!, ACHA UROHO!!!

Baada ya Kiziwi/Bubu huyo kuzidisha kufuru ya nyonga njemba lenye ukwasi lilianza kumsarandia. kama ni kiziwi kweli anausikiaje muziki huo, au kiziwi feki?.

No comments:

Post a Comment