KARIBU SANA

Friday, November 28, 2008

MAKOPO SASA PESA

ijana huyu alinaswa na kamera yetu akikusanya chupa tupu za maji ya kunywa katika mtaa wa Azikiwe kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hii leo. Watu wengi wamekuwa wakijihusha na ukusanyaji wa chupa hizo kwaajili ya kujiongezea kipato.

No comments:

Post a Comment