KARIBU SANA

Friday, November 28, 2008

HATARI, HATARI, HATARI

Wanafunzi hawa walinaswa na kamera yetu mapema hii leo wakivuka Barabara ya Bibi Titi Mohamed eneo la Kisutu Jijini Dar es Salaam bila kuzingatia taratibu za uvukaji barabara ambapo walikuwa wan avuka huku magari yakiendelea kupita kama inavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment