KARIBU SANA

Friday, November 28, 2008

MGOMO VYUO VIKUU BADO NGOMA NZITO

Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wanaosoma katika vyuo vikuu nchini (TAHLISO) Christopher Ngubiagai (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO Jijini Dar es Salaam, hii leo kuhusu hali ya sasa ya muonekano wa elimu ya juu nchini, pamoja na migomo inayoendelea.Kulia ni Katibu wa TAHLISO Bw. Nichoprous Mtindya.

No comments:

Post a Comment