KARIBU SANA

Saturday, November 29, 2008

Nani zaidi?

Hawa ni Bahati Bukuku na Rose Muhando ambao ni waimbaji mahiri na maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania. Ingawa wote ni wakali, lakini nani zaidi?

No comments:

Post a Comment