KARIBU SANA

Saturday, November 29, 2008

Msamba huo ..!


Kiguru juu, ndivyo alivyokuwa akijiachia mrembo huyu baada ya kupandisha mzuka katika shamrashamra za miaka minne ya mitikisiko ya Pwani iliyofanyika New Msasani Club, usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment