KARIBU SANA

Saturday, November 29, 2008

Miaka mi 4 cio mchedhooo!!


Muasisi wa kipindi cha Mitikisiko ya pwani kinachorushwa hewani na Radio Times FM, Hadija Shaibu au Dida wa G. kama anavyojiita baada ya kunanihiwa na Mchopanga, akimlisha keki Mkurugenzi wa kituo hicho, Rehule Nyaulawa katika sherehe za kutimiza miaka minne ya kipindi hicho zilizofanyika Msasani Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment