KARIBU SANA

Wednesday, April 29, 2009

P. Funky akimbia kupima ‘ngoma’

Prodyuza wa muziki wa Kizazi Kipya nchini, Paul Mathew a.k.a ‘P. Fank’ maarufu kama Majani, hivi karibuni amedaiwa kukimbia vipimo vya upungufu wa kinga mwilini (Virusi vya Ukimwi) ‘ngoma’.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni mkoani Mwanza walipokuwa katika ziara ya kuwasaka washiriki wa shindano la Bongo Star Search (BSS).

No comments:

Post a Comment