KARIBU SANA

Wednesday, April 29, 2009

Nani zaidi?


Rose Mhando
Baada ya Christine Shusho kumbwaga Flora Mbasha wiki iliyopita na Rose Muhando kuibuka kidedea dhidi ya Bahati Bukuku, sasa ni zamu ya Shusho na Muhando kutoana jasho. Unachotakiwa kufanya ni kupiga kura yako kwa mwimbaji unayeona nyimbo zake zina ujumbe zaidi, huku ukizingatia mpangilio wa sauti na kutawala jukwaa. Kwa sasa Shusho anasumbua na wimbo wake wa ‘Unikumbuke’, wakati Muhando anatesa na ‘Nibebe’. Kazi kwako kumpigia kura mwimbaji unayeona ni zaidi ya mwenzake!

No comments:

Post a Comment