skip to main |
skip to sidebar
TENGA, NYAMLANI, NASIBU WAPETA
Uchaguzi Mkuu wa TFF umekwisha na Leodgar Tenga amefanikiwa kutetea kiti chake na Athmani Nyamlani anakuwa Makamu wake wa kwanza, wa pili anakuwa Nasib Ramadhan.......Tenga amemshinda mshindani wake wa karibu Jamal Malinzi kwa kura 68 - 39.
No comments:
Post a Comment