KARIBU SANA

Tuesday, December 9, 2008

JK ABARIKI MIAKA 3 YA THT

Mh. Rais kikwete akiwa na mwenyeji wake Ruge Mutahaba ambaye ndiye mwanzilishi wa THT.
Baadhi ya wasanii wa THT wakitoa burudani kali mbele ya Mh. Rais

Wasanii Chid Benz (shoto) na Banana Zoro katika foleni ya chakula

Lady Jaydee akisoma risala kwa niaba ya wasanii wa Bongo Flava nchini.


Mh. Rais na viongozi wengine wa Serikali na makampuni nchini, wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Flava na wadau wake.

No comments:

Post a Comment