KARIBU SANA

Saturday, December 13, 2008

DU!! JAMANI GARI LA BEI MBAYA LATEKETEA KWA MOTO

Gari aina ya Nissan Patrol, likiwa linateketea kwa moto leo Mchana maeneo ya ofisi za TRA Mwenge jijini Dar es salaam.
Askari polisi wa doria pamoja na Askari wa usalama barabarani wakiwa wanaangalia usalama ili vibaka wasilete madhara katika tukio hilo.

No comments:

Post a Comment