KARIBU SANA

Friday, May 1, 2009

H-BABA: Mr. Nice ni mpinzani wangu mkubwa...


MAMBO vipi watu wangu wa safu hii ya kiukweli, naamini huwa mnaisubiri kwa hamu kila Ijumaa. Baada ya kuchonga na msanii wa filamu, Richie, leo Ten Questions ‘TQ’ imelonga na mwanamuziki mkali wa TAKEU nchini. Huyu si mwingine ni Hamis Ramadhan ‘H-Baba’, songa nayo upate kujua anafanya nini katika nchi hii.

No comments:

Post a Comment